Kamati ya Mazingira ya Bunge

Kamati ya Mazingira ya Bunge

KAKA NASOKI

Senior Member
Joined
May 25, 2016
Posts
191
Reaction score
212
Je, hii kamati, huwa inapangiwa sehemu za kutembelea au wanajipangia?

Naona wanatembelea viwandani tu ambako waathirika ni watu chini ya 1,000, wakati masoko yote ni machafu kupidukia na inaathiri DSM nzima.

Waende soko la Stereo wakajionee na waipige faini manispaa ya Temeke hizo pesa wapewe wafanyabiashara.
 
Back
Top Bottom