I like your insight. very interesting. Kuna uwezekano ur right, kuna mtu aliniambia haya mwanzoni mwa admin ya JK. Tulikua tunajadili kitualichofanya EL wakati akiwa waziri wa ardhi. Ali annex kipande cha IKULU ya Arusha alafu akakiuza. Jambo la aibu sana. As it is anayumba zaidi ya kumi masaki. mpaka nyingine kampa dada yake karibia na la dolce vita.
Inasemekana anaviwanda Uholanzi, to name but few.
Lakini ukweli kuhusu suggestion yako utajulikana if he takes any action. But I thin he is under a lot of pressure to do so... Wananchi, Donor Community nayo inamuangalia... Lazma watu walambe dume.hahaha.