Kamati ya Olimpiki Yasusia Jezi za Shirikisho la Riadha ~ RT

Melubo Letema

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2020
Posts
416
Reaction score
414
56253afe-a0ac-4bc1-843f-bffe27c25bae.jpeg
Kutoka kushoto ni Gabriel Gerald Geay, Jackline Juma Sakilu , Alphonce Felix Simbu na Magdalena Shauri wakifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwenda Kwenye mashindano ya Olimpiki Huko Paris, Ufaransa.

Jezi zilizotolewa na kampuni ya Xtep iliyopo China ili Timu zinazokwenda Olimpiki zivae ( Xtep Group is one of the leading sports brands in China. Founded in 1987 and officially established as the brand XTEP in 2001, the Group was listed on the Hongkong Stock Exchange on 3rd June, 2008 (01368.hk). In 2019, the group started its Internationalization strategy and included Saucony, Merrell, K-Swiss and Palladium under its flag to launch itself as a leading International group within the industry with multiple sports brands and to satisfy customers' various demands for sports products.)

Ila kwa kiburi cha Viongozi wa TOC, Henry Tandau, Filbert Bayi na Ghulam wamekataa kuvaa mavazi hayo.

IMG_1351.jpeg

Timu iliyopo chini ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na Jezi za zamani.
 
Sababu ni kwamba wanamichezo wote watavaa jezi ya Asics, ambayo sio mshirika wa RT wala wengine
1. je kuna mou baina ya rt na asics?

2. je kuna mou kati ya rt na xtep?

3. je kuna mou baina ya toc na xtep?

4. je kuna mou baina ya toc na asics?

5. je rt wana mandate ya kuwachagulia toc wadhamini?

6. je uchaguzi wa wanamichezo wanaoiwakilisha nchi ukiachana na vyama vya michezo husika, jukumu la toc ni lipi katika kupatikana kwao?

unahitajika kufafanua zaidi maana bandiko lako pamoja na shutuma lakini limewaeleza kwa kina hao xtep, maana kusije kuwa kuna mgongano wa maslahi au insubordination baina ya rt na toc.
 
Kutoka kushoto ni Gabriel Gerald Geay, Jackline Juma Sakilu , Alphonce Felix Simbu na Magdalena Shauri wakifanya mazoezi mepesi ya kujiandaa kwenda Kwenye mashindano ya Olimpiki Huko Paris, Ufaransa.

Jezi zilizotolewa na kampuni ya Xtep iliyopo China ili Timu zinazokwenda Olimpiki zivae ( Xtep Group is one of the leading sports brands in China. Founded in 1987 and officially established as the brand XTEP in 2001, the Group was listed on the Hongkong Stock Exchange on 3rd June, 2008 (01368.hk). In 2019, the group started its Internationalization strategy and included Saucony, Merrell, K-Swiss and Palladium under its flag to launch itself as a leading International group within the industry with multiple sports brands and to satisfy customers' various demands for sports products.)

Ila kwa kiburi cha Viongozi wa TOC, Henry Tandau, Filbert Bayi na Ghulam wamekataa kuvaa mavazi hayo.

View attachment 3052449
Timu iliyopo chini ya Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) na Jezi za zamani.
Watakua wamekosa ulaji hao

The day wizara inawaondoa hao wazee is the day tunafanikiwa na Olympics
 
Hii ishu inakuuma sana mkuu. Umeianzishia uzi zaidi ya mmoja

Unaonekana una maslahi na mchina
 
Back
Top Bottom