RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
Katikakati ya umeme inayoendelea nchini baadhi ya wabunge bungeni wamekuja juu baada ya kuona nchi inakuwa gizani mara kwa mara huku wenye viwanda wakifunga viwanda vyao kwa kukosa umeme wa uhakika katika uzalishaji.
Aidha kamati ya PAC imebaini kuwa baadhi ya mikataba ilyosaniwa na Tannesco awali ilikuwa ni bilioni 30 kusambaza umeme vijijini lakini kilichowashangaza ni kwamba baada ya watendaji wapya kukagua mikataba hiyo wameona kuwa mikataba hiyo ilikosewa kiwango cha pesa kilikuwa kidogo na wakaongeza ikawa bilion 37.
Hii imewatia wasiwasi wabunge wa kamati hiyo wamejiuliza kwanini pesa imeongezeka na imeongezeka kwa vigezo vipi jambo ambalo hawakupata majibu.
Wameshauri kamati maalumu iundwe ili kuchunguza kwanini waliongeza kiasi cha tsh bilion 7

Mbunge akichangia bungeni