rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Baada ya mechi kati ya Yanga na Simba pamoja na kuwa na waamuzi 6 ilishuhudia maamuzi ya ajabu kama penati ya makosa yaliyofanyika nje ya 18, rafu bila kutolewa kadi, game kupozwa bila sababu na penati za wazi kutokutolewa.
Leo hii ni zaidi ya wiki hatujasikia kamati hiyo kukaa wala kutoa adhabu kwa waliohusika na kuharibu mechi hiyo
Je kuna haja ya kuwa na kamati kama hizo au zifutwe ijulikane hakuna chombo kama hicho au huwa wanafanya kazi kwa mashinikizo ya vyombo vya habari.