Pre GE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma yataka kukamilishwa kwa wakati kwa hosteli ya Sekondari Mbalawala

Pre GE2025 Kamati ya Siasa CCM Dodoma yataka kukamilishwa kwa wakati kwa hosteli ya Sekondari Mbalawala

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma mjini wamewataka wataalamu wanaosimamia mradi wa Hosteli ya Shule ya Sekondari Mbalawala mkoani humo kuhakikisha bweni hilo linakamilika kwa wakati na kwa ubora uliokusudiwa.

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Wajumbe hao wamesema hayo wakati wa ziara ya ukaguzi wa miradi ya utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2025 wilayani wakiongozwa na Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma, Sophia Kibaba.

 
Back
Top Bottom