Kamati ya uchaguzi ya Klabu ya Yanga yatangaza tarehe ya uchaguzi, zaidi bofya hapa

pc20

Member
Joined
May 28, 2016
Posts
24
Reaction score
10
Kamati ya Uchaguzi ya kablu ya Yanga leo imetengaza tarehe rasmi ya uchaguzi wa klabu hiyo kuwa Juni 11,huku ikisisitiza TFF na BMT wakae kama waangalizi katika uchaguzi huo.

Akiongea na Waandishi wa habari mapema leo jijini Dar es Salaam Katibu Mkuu wa klabu ya Yanga Baraka Deus amesema kuwa kuwa awataki maslai ya timu hiyo yasimamiwe na watu walionje ya timu hiyo. Habari kamili iko=> Kamati ya uchaguzi ya Klabu ya Yanga yatangaza tarehe ya uchaguzi, zaidi bofya hapa | Mikoa Yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…