CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
KAMATI YA USAJILI SIMBA.wakuu.
Habari wakuu.
Mimi ni mpenzi wa mpira wa Miguu. Na kusoma kidogo ukocha kama mafunzo ya ziada tu kwangu.
Nianze kwa kuipongeza KAMATI ya usajili ya Simba kwa kufanya usajili mzuri, kuangalia mapungufu Yao ya msimu uliopita.
Endapo Simba ikifanikiwa kumpata Lobi Manzoki itakuwa imefanya usajili Bora kwa asilimia 90. Kwa kuungana na Mussa phiri. Kwenye eneo la ushambuliaji ambalo lilionyesha mapungufu makubwa msimu wa 2021-22.
Mapungufu yaliyopo kikosi Cha Simba kwa sasa.
1. KUKOSA KIUNGO WA UKABAJI.
Huenda Kuna Kila Dalili Simba kukosa kiungo No 6 kiungo mkabaji CDM.
Mpira wa kisasa unahitaji kuwa na kiungo CDM, Central defensive midfielder ambaye yeye.
A)Atanusa hatari.
B)Atalinda ukuta wake mbele ya mabeki wanne PASIPO kutoka.
C)Atalazimika kushukaa kucheza kama beki wa kati timu inapo shambuliwa.
Tumeshuhudia Thadeo Lwanga akiwa kiungo Bora kabisa wa hii nafasi kabla ya Injury iliyoshusha kiwango chake kabisa. Hakika Alikuwa mwamba kweli kweli.
Nikikumbuka mchezo wa Simba na vita, pale Kinshasa waKongo waliuliza Huyu mchezaji mmemtoa wapi? Simba ikiibuka na ushindi wa goli Moja.
Dar es salaam Thadeo Lwanga kwenye ubora wake Hakupoteza mpira hata mmoja, Hakupoteza pasi hata Moja, passi zote zilifika Alikuwa kwenye ubora wa asilimia 100. Mbele ya Lwanga Simba ikatoka kwenye zile 5, 5, 4. Ikawa inashinda ugenini.
Simba imesifika kuwa na viungo Bora nyakati zote kama Matola, Henry Joseph, Masawe,Shekhan, Mafisango, flaga nk. Wote Hawa hawakuwa CDM kama Thadeo Lwanga. Lwanga Alikuwa kiungo wa kisasa kama Casemiro,Fabinho,busquet, nk nk.
2.KUSAJILI NAMBA 8 WENGI.
Simba imesajili wachezaji wengi wenye mfano. Box to Box kama Victor Akpan, Mzamiru yassin, sadio kanute nk wote Hawa ni viungo wanaopenda kushambulia na kukaba kwenye maboks yote mawili.
3.KURUDIA KOSA LA 2021.
KAMATI ulifanya makosa ya kusajili wa zaidi ya wachezaji 10 kwenye eneo la mawinga no 7 na 11.
Dunkani Nyoni, Yusuph mhilu, Sackho, Banda, Jimson Mwinuke, Kibu Dennis, Benard Morrison na hata Bwalya aliyekuwa anatokea pembeni wakati wa Gomez.
MSIMU WA 2022-23.
Wameongeza Mawinga okrah,phili, na Okwa.
Jumla ikiwa na Mawinga.8.
Huku wakimkosa CDM 6.
Akpan ni mzuri Sana japo ni No 8.
Wapo watakaohoji kuwa MBONA UNAMUACHA MKUDE.
1.Mkude ni kiungo 6 asiyeweza kukaba.
2Asiyeweza KULINDA ukuta wake.
3. Asiyeweza kukokota mpira na kupandisha timu kwa haraka.
4.anaecheza sehemu ndogo Sana ya uwanja.
5.Amecheza misimu takriban 10.
Ezi za mkude Simba ilikuwa ikipigwa na vita mazembe mwarabu 5,5,4.4.
UMAIRI WAKE NI KUPIGA PASI TU UWANJANI TENA ZA PEMBENI NA SI ZA MPENYEZO.
KAMATI YA USAJILI REKEBISHENI HAPA KABLA HAMJAKOSA UBINGWA2023.
MSIJE KULAUMIANA.
MSIWEKE NGUVU KWA MANZOKI PEKE YAKE. DIRISHA LINAFUNGWA AGUST 31. Uza sakho, kanute au Banda. Leteni CDM.
NAOMBA KUWASILISHA.