rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Tungekuwa na mtu kama Fraga tungekuwa tunawaza kucheza fainali siyo nusu fainaliUmeandika kitaalamu sana. Nimeshangaa pia kuwa winga wengi,huku CDM isipewe uzito. Angepatikana mtu kama Fraga
Fainali ya Mapinduzi Cup au sio???Tungekuwa na mtu kama Fraga tungekuwa tunawaza kucheza fainali siyo nusu fainali
Nyie mandonga fc tulieni tunaongelea michuano mikubwa ya caf ambayo nyinyi Huwa ni wasindikizajiFainali ya Mapinduzi Cup au sio???
Msimu uliopita Simba SC haikuwa na tatizo kwa Kikosi chake kama Watu wengi wanavyodhani, ila tatizo Kubwa lilikuwepo katika Administration na Management hasa.Kwa maono yako unaona Simba imetatua tatizo la Msimu uliopita??
Ndio maana ya box to box, mgunda alilazimika ampeleke kitenge kwenye no 6 kwenye UKABAJI.Akpan unamjua vizuri? umewahi kumtazama Akpan akiwa Coastal Union na kazi alizokuwa akifanya?
Naamini majibu yako kwa hayo maswali yangu yote hapo juu ni HAPANA.
Humjui kabisa Akpan.
Yule ni mkabaji mwenye uwezo wa kupandisha timu, anakaba, ana intercept, ana press, ana assist, na anafunga, anafanya vyote hivyo, tafuta video zake akiwa Coastal Union umtazame.
Fafanua vizuri mkuuuMsimu uliopita Simba SC haikuwa na tatizo kwa Kikosi chake kama Watu wengi wanavyodhani, ila tatizo Kubwa lilikuwepo katika Administration na Management hasa.
Hakupewa nafasi tuTuwe wakweli, Banda sio future, na hana msaada kwa timu.