Kamati ya Utendaji ya CHADEMA Kanda ya Nyasa yakutana

Utopolo
 
Chadema itadumu kwa nguvu za Mungu.

Kamwe mwanadamu aliyezaliwa na mwanadamu hatoiweza kuisambaratisha.
Wasioitaka chadema itawalazimu wao wahame nchi. Chadema is there to stay forever
 
Hongereni sana. Kazi ya kumng'oa mkoloni mweusi ccm ni ngumu sana lakini tutashinda tu.
 
Mawazo ya mtu anayeishi akiwa tayar ameshafariki
 
Safi makamanda wetu huko kusini, tunasonga mbele mpaka haki na utu virudishwe nchi hii.
 
HAhahahaaa wazee wa kujifariji sawa erythrocyte msalimie sana LUSAJO ALIPIPI KASYUPA
 
MaCCM wote akili zenu hazina akili.
Roho mbaya na za kinyama, unafurahia kabisa familia za wasio na hatia kuumizwa,
ndio maana mimi nakubaliana na wanaotuita waafrika Manyani. Sisi ni wanyama kabisa.
 
Vipi mnapanga ugaidi? Lakini Gaidi Kiongozi bado yuko ndani au mnataka mkamtoe kwa njia za kigaidi?
 
Pia usisahau kuwa nguvu yako pia inahitajika ili kuiondoa ccm madarakani.
CCM haiwezi kutolewa na Magaidi bali watz wenyewe. Magaidi hawana nafasi hiyo zaidi watanyea debe tu.
 
Siku hizi bila vitisho hamtaishi?Wale vija wa uvccm wenye hoja walitokomea wapi jamani,siku hizi mwendo wa vitisho hakuna lolote la maana yaani ka.
 
Maazimio mazito, khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, my foot.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…