Ebana wanajamvi inakuwaje?
Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda akatunukiwa Na FIFA tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2024 Ballon d'Or.
Hizi ni duru za uhakika nimepenyezewa na wadau wangu wa karibu kabisa wanaofanya kazi FIFA uswisi.
Endapo kiungo huyu wa kipekee atanukiwa tuzo hiyo ya juu kwenye mpira itatuletea sifa na fahari kubwa sana watu weusi.
Mcheki mwamba hapo chini.