siyo rahisiEbana wanajamvi inakuwaje?
Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda akatunukiwa Na FIFA tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2024 Ballon d'Or.
Hizi ni duru za uhakika nimepenyezewa na wadau wangu wa karibu kabisa wanaofanya kazi FIFA uswisi.
Endapo kiungo huyu wa kipekee atanukiwa tuzo hiyo ya juu kwenye mpira itatuletea sifa na fahari kubwa sana watu weusi.
Mcheki mwamba hapo chini.
View attachment 3009041
Ballon d'Or sidhan kama inatolewa na FIFAEbana wanajamvi inakuwaje?
Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda akatunukiwa Na FIFA tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2024 Ballon d'Or.
Hizi ni duru za uhakika nimepenyezewa na wadau wangu wa karibu kabisa wanaofanya kazi FIFA uswisi.
Endapo kiungo huyu wa kipekee atanukiwa tuzo hiyo ya juu kwenye mpira itatuletea sifa na fahari kubwa sana watu weusi.
Mcheki mwamba hapo chini.
View attachment 3009041
The Ballon d'Or (French pronunciation: [balɔ̃ dɔʁ] ⓘ; lit. 'Golden Ball') is an annual football award presented by French magazine France Football since 1956 to honour the player deemed to have performed the best over the previous season.Ballon d'Or sidhan kama inatolewa na FIFA
Nipo hapa, ila mwaka huu sio wangu bado. Mtanizingatia misimu ijayoEbana wanajamvi inakuwaje?
Kiungo hatari mkabaji na mshambuliaji wa timu ya mpira iliyotwaa la Liga na UEFA CL Real Madrid, raia wa ufaransa mwenye asili ya Angola Eduardo Camavinga huenda akatunukiwa Na FIFA tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2024 Ballon d'Or.
Hizi ni duru za uhakika nimepenyezewa na wadau wangu wa karibu kabisa wanaofanya kazi FIFA uswisi.
Endapo kiungo huyu wa kipekee atanukiwa tuzo hiyo ya juu kwenye mpira itatuletea sifa na fahari kubwa sana watu weusi.
Mcheki mwamba hapo chini.
View attachment 3009041
NyoooHizi ni duru za uhakika nimepenyezewa na wadau wangu wa karibu kabisa wanaofanya kazi FIFA uswisi.
😁FIFA uswisi.