Elections 2010 Kamba hukatikia pabovu

kama vile sijaelewa......?
 
inatakiwa utaalamu wa LUgha za picha, lakini ngoja!
 
Sonara bana ! umetuachina mtihani hapa ,umetupatia Title na picha ya KIKONGWE mgonjwa tuandike habari duh.
 
Kweli ccm imefilisika wagombea hata huyu!! Namwona kama mngonjwa vile au macho yangu.....
 
Jamani na uzee wote huyu? Sasa JK naye afya yake mgogoro.... aanguke chini ghafla, PWAAA! Ndiye huyu ashike nafasi yake?

Mola tunusuru!
 
sijui nilie au nicheke, mambo mengine yanafurahisha na kuhuzunisha ati the same tym ati!
 
Unataka kusema hapa ni pabovu na kuwa panakaribia kukatika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…