ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nimecheka eti aliambiwa na Giani Infantino πππππ
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdallah 'Try Again' amesema wakati wa mchezo wa fainali ya African Football League nchini Afrika Kusini aliambiwa na Rais wa FIFA, Gianni Infantino kuwa Simba inacheza vizuri kuliko Mamelodi Sundowns na Wydad AC.
Kwa hiyo umekubaliana na alichosema Try kuwa ni kweli aliteta na Infantino?Infartino alijua wazi anaongea na mbumbumbu ndo maana akawa anamwambia vitu ambavyo anapenfa kuvisikia.
.mmm yuko sahihi ndiyo maana wamesajili wachezaji chini ya kiwango ukiwa na zatizo la uti wa mgongo vitu vilivyo nyooka unaviona km vimepinda ina maana kilichopinda kitaonekana kimenyookaNimecheka eti aliambiwa na Giani Infantino [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]