Kambale Bhana!

Kambale Bhana!

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2021
Posts
3,211
Reaction score
3,611
Zifuatazo ni kabila na kazi za Kambale kama angekuwa binadamu:-
  • Mmakonde – angechonga na kukeleza vinyago kwa sababu ana brashi mkiani, polish mwilini, msasa utosini, krampu mdomoni na msumeno fizi.
  • Mchaga – Fundi-viatu kwa sababu ana brashi mkiani, misumari midogomidogo ya viatu (shoe tacks) mdomoni, mdomo wake ni koleo, msasa utosini, kiwi nyeusi mwilini na nyutro tumboni kwa nje, na gundi ambayo ni mlendalenda wake.
  • Mkinga & M-bena – Seremala na Mpasuambao kwa sababu ana msasa utosini, fizi zake msumeno, tepu mgongoni, mlenda wake ni gundi na mdomo wake krampu.
  • Mhehe – kama angekuwa na hasira kama Mkizi kwa sababu tayari ana vitanzi/sharubu mdomoni angejinyonga sana.
  • Hasingekuwa Mjaluo wala Mpare kwa sababu ya Usabato.
 
Back
Top Bottom