Kambale Mkunje angali mbichi

Kambale Mkunje angali mbichi

Kuna kitu anataka kuingiza, ama!!!!
 
si uchawi, ni mazoezi na determination...of coz one has the price to pay!
 
For every success, there is a price to say. Sisi mara nyingi tunapenda njia za mkato, ndo maana hatufiki mbali.
 
Samaka mkunje mpaka a.......n......y........e !
 
Ama kweli sports academy ni muhimu katika early stages na nyanja zote
 
si uchawi, ni mazoezi na determination...of coz one has the price to pay!
...Hivyo vitoto ndio unasikia kwenye mashindano ya olimpiki vinazoa medals kama havina akili nzuri wakati sie tunapeleka majitu yameshajichokea wanaishia kutalii tu wakirudi hapa sound kama kawaida
 
QUOTE=tasia I; redy for carrate.

Did mean READY for KARATE?
 
QUOTE=tasia I; redy for carrate.

Did you mean READY for KARATE?
 
Baada ya miaka kumi mtoto analeta Gold za ushindi nchini mwao na kwa familia ina kuwa proud sana,
huku kwetu hayo mambo hatuwezi tuliua madarasa 1990's na akina mungai tutabakia kusikilizi mashindano huko ulimwenguni tuuu
 
Back
Top Bottom