Kambale wa kwenda kufuga au kula ukipenda hawa hapa

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,939
Reaction score
3,259
nauza kambale hawa kuanzia inch 6 na kuendelea bei ni 1500
 
kama huna karo au bwawa fugia kwenye manailoni magumu yanayopatikana kwa wingi tandika kwa mita moja 2500 mpaka 3500 namba ya simu ya muuzaji ninayo
 
Mine npatie hyo number npo naish kongowe
 
0769145162 manailoni
 
kama huna karo au bwawa fugia kwenye manailoni magumu yanayopatikana kwa wingi tandika kwa mita moja 2500 mpaka 3500 namba ya simu ya muuzaji ninayo

kwenye hayo manailoni wanazaliana au ni kuwakuza tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…