MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Kwa tabia anayoionesha huyu bwana mdogo kuna kila aina ya dalili za kutimkia CCM.Amekua mtetezi mkubwa wa serikali na Chama tawala kuliko hata Chama anachoking'ang'ania kwa sasa.
Ameanzisha mapambano na vijana wenzie wa chama chake na vyama viingine vya upinzani kitu ambacho ni hatari sana inatia shaka sana aina ya upinzani wake kwa sasa.
Muda utasema, naweka akiba ya maneno.
Ameanzisha mapambano na vijana wenzie wa chama chake na vyama viingine vya upinzani kitu ambacho ni hatari sana inatia shaka sana aina ya upinzani wake kwa sasa.
Muda utasema, naweka akiba ya maneno.