Kasema maalim hafai kushika dola na sio cuf ingawa umeweka hivyo vialama apo juu yaonekana huna uhakika.Yes Kambaya anaenda CCM very soon.
jana nimemsikia akisema 'Cuf haifai kushika dola'
serikali ya magharibi imeingia hapa wewe kunguru? chuki tu zimekujaakama huitetei serikali yako inapotenda jema utaitetea serikLi gani wewe?au wewe ni mmojawapo wanaowasujudia watu Wa magharibi??
Bavicha mnarahisisha kazi ya kuvunja ukawaKwa tabia anayoionesha huyu bwana mdogo kuna kila aina ya dalili za kutimkia CCM.Amekua mtetezi mkubwa wa serikali na Chama tawala kuliko hata Chama anachoking'ang'ania kwa sasa.
Ameanzisha mapambano na vijana wenzie wa chama chake na vyama viingine vya upinzani kitu ambacho ni hatari sana inatia shaka sana aina ya upinzani wake kwa sasa.
Muda utasema, naweka akiba ya maneno.