Kambi ya Chumbi ni hatari Kwa waathirika wa Mafuriko Rufiji

Kambi ya Chumbi ni hatari Kwa waathirika wa Mafuriko Rufiji

Joined
Feb 22, 2024
Posts
10
Reaction score
10
Nimefika katika kijiji Cha Chumbi kushuhudia athari za mafuriko katika maeneo hayo na namna wananchi wanavyohudumiwa.

Nimeangalia mazingira ya walipowekwa ni kama Serikali imefabya kuondoa lawama Kwa kuwa eneo la Kambi Mvua ikinyesha Bado maji yataingia ndani ya Kambi husika

Mazingira ya vyoo si rafiki na vilivyopo Kuna vyoo vinne vya mapipa na vyote vimejaa.

Isipofanyika jitihada za haraka kurekebisha Hali hiyo kunaweza kuwa na magonjwa ya milipuko itakayoathiri watu zaidi ya mafuriko yenyewe
 
Back
Top Bottom