(Kambi Ya Kimataifa kwa Vijana) Tanzania International Youth Camp.

Mvumbagu

Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
38
Reaction score
9

Kwa vijana wa chuo, wapenda maendeleo Umri kati ya miaka 18-40, Kambi maalum ya kimataifa kwa vijana inatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 3-17, Agosti, 2014 na nyingine 31,Agosti- 13,September,2014. (Kwa muda wa wiki Mbili Kila moja.)
MAHALI: ILONGA YOUTH CENTRE, KILOSA-Morogoro,Tanzania

Jifunze, Shiriki, Jumuika, na Badili Fikra.

INTERNATIONAL YOUTH WORK CAMPS AND EXCHANGE PROGRAM
CONDUCTED BY WATOTO WETU TANZANIA IN COLLABORATION WITH
MINISTRY OF INFORMATION, YOUTH, CULTURE AND SPORTS


PROGRAMS;

ENVIRONMENTAL ISSUES
BUSINESS PLAN WRITING
RESEARCH AND REPORT WRITING SKILLS
HUMAN RIGHTS ADVOCACY
GOOD GOVERNANCE & LEADERSHIP SKILLS.
ENTREPRENEURSHIP SKILLS
HEALTH CARE AND LIFE SKILLS
VOLUNTEERISM PROGRAM
INTERVIEW SKILLS


+ TOUR DURING THE WORK CAMP TO (E.g MIKUMI NATIONAL PARK, ULUGURU MOUNTAINS, WATER FALLS AND OTHER TOURISTS AREAS to Promote National Tourism Sector).


Unaweza kutuma maombi yako sasa, Kwa Maulizo na Taarifa zaidi
Wasiliana nasi moja kwa moja.

Barua pepe: wwtyouthexchange@gmail.com
Simu/ Whatsapp: 0716 979 939/ +255 712 439 124/ 0756 438 070
Landline: 023 262 3036
Twitter: @IycepTanzania
 
Habari,


Karibu Iycep Tanzania.


Ufuatao ni utaratibu wa maombi na vigezo vya washiriki.

Program hii ni kwa vijana wa jinsia zote (wasichana & Wavulana) kati ya umri wa miaka 18-40 kuanzia wahitimu wa kidato cha nne hadi elimu ya juu.

Ada ya program: 50,000/- Tshs. ( Chakula, malazi, mafunzo, cheti + Tour)


Number of participant per camp: 50 Participants


Utaratibu wa kutuma maombi:

- Lipia Ada ya program katika Benki ya NBC Account Number 011103025145 Branch: Corporate Branch,

- Scan bank payment slip ( Risiti ya malipo)kisha uitume kwa. Email: wwtyouthexchange@gmail.com au Whatsapp: 0716979939

- Utapokea namba ya ushiriki wa kambi pamoja na fomu ya maelezo ya kambi na maelezo ya ziada kukusaidia kufika kambini ( Ilonga Youth Centre)

-Mshiriki atatakiwa kujigharamia nauli ya kwenda na kurudi Kambini( Kutoka mkoa atokao)Mshiriki anaweza kuuliza Taarifa za gharama za nauli mapema kutoka kwa Iycep Tanzania, kulingana na mkoa anaotoka.

-Wakati wa kuripoti kambini, Mshiriki anaombwa kuleta risiti ya malipo ya benki (pay slip) kwa ajili ya kupewa risiti na kuthibitisha uhalali wa ushiriki wake.


Mwisho wa kutuma maombi wa ushiriki kwa camp I ni tar. 31st, July,2014. Na kwa Camp II ni tar. 25th, August, 2014


Shukran.
Mohammed A. Mvumbagu
Coordinator
Iycep Tanzania.
 
jamani sawa ni wazo nzuri, ila mngetusaidia na sisi ambao hatuna uwezo wa nauli kufika huko, tunatamani tuje kujifunza, gharama kikwazo, ajira yenyewe majanga. vigezo vyote ninanvyo ila pesa ndio balaa.
 
YCEP Tanzania 2014 Camp Updates:

Tunatangaza kufunga rasmi awamu ya kwanza Usahili wa washiriki wa kambi ya kwanza kutokana na kujaa kwa nafasi zilizotolewa hadi Tarehe 13,August,2014 Tutakapofungua tena kupokea maombi kwa ajili ya Camp II.

( Kambi ya pili itafanyika Tarehe, 31,August- 13,September,2014)

Tunashukuru na kutoa pongezi kwa Vijana na Wadau wote waliojiandikisha kwa IYCEP Tanzania Camp I August, 3- 17, 2014.


Kaa tayari kupokea International Youth Day 2014 Challenge Pack ( Theme: ‪#‎Mental‬ Health Matters) kwa ajili ya Shule,Kikundi au Jamii yako.


Taarifa za ziadakwa washiriki wa kambi ya kwanza zitatolewa kwa mawasiliano ya washiriki, (Barua Pepe, na Simu).
**Tafadhali tujulishe endapo kuna mabadiliko yoyote ya mawasiliano utakayoyafanya kabla ya Tarehe 25, July,2014.

https://www.facebook.com/IycepTanzania





Caption: Picha zinazo onyesha baadhi ya matukio wakati wa Kambi ya Kimataifa ya Vijana IYCEP Tanzania 2013
​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…