Elections 2010 Kambi ya mtaka urais 2015 yasambaratika

Swala la kusameheka kanisani kuna uhusiano gani na urais. Watanzania wanaendelea kukaa gizani alafu mtu mzima anaongelea suala la kusamehewa. Leo hii serikali inalazimika kulipa pesa za dowans kwa umeme ambao haupo. Haiingii akilini kuongelea suala la kutubu wakati watanzania wa kawaida wanaishi bila umeme. Ni vizuri tukaongozwa na uzalendo kuliko maslahi binafsi.
 
Wananchi wanaelewa kila kitu, hawadanganyiki, watamhukumy tu na ataumbuka, aingii ikulu huyo, wakamuulize, Lau Masha na mbinu zake zote wananchi walimtolea nje ya ulingo.
 
Wananchi wanaelewa kila kitu, hawadanganyiki, watamhukumy tu na ataumbuka, aingii ikulu huyo, wakamuulize, Lau Masha na mbinu zake zote wananchi walimtolea nje ya ulingo.
Nadhani tatizo sasa si wananchi.Wananchi walio wengi wanatambua na kuamini kwamba huyu si chaguo jema kwa Urais. Aidha yeyote kutoka chama chochote anayenuka kaharufu ka ufisadi hafai kutuongoza. Tatizo ninaloliona ni la viongozi wetu ikiwa ni pamoja na wabunge kadhalika. Hivi inakuwaje eti mtu huyu alipata uenyekiti wa kamati nyeti ya madini bila kupingwa? Hata wabunge wa upinzani nao wakakaa kimya? Ikiwa tunamuenzi na kumuheshimu Mwallimu Nyerere, basi tuenzi na yale maono yake kuhusu mtu huyu. Yeye alitumia maneno mawili tu kuhusu huyu mtu.....NO WAY!!
 
Nguo ikizeeka hasahasa cotton hata utie kiraka chepesi kiasi gani itapasuka tu!!
 

Safi Ndutu for a very strong msg this evening
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…