Hakuna kanuni ya aina hiyo labda ni kanuni ya bunge la Rwanda huwezi kulazimisha watu wa sehemu fulani wakuchague hiyo si demokrasia hata CCM haina hata karani wa bunge Pemba. Kinachotakiwa ni idadi ya asilimia 12 ya idadi ya wabunge PERIOD.Ili uwe na kambi ya upinzani bungeni ni lazima uwe na wabunge kutoka pande zote 2 za muungano yani tanganyika na zanzibar kwa hiyo cuf wanao uwezo wa kuunda kambi ya upinzani peke yao lkn chadema hawawezi mpaka waungane na cuf. Nionavyo mimi kuungana ni njia nzuri lkn unafiki na kutokuaminiana ndio tatizo letu.
Hakuna kanuni ya aina hiyo labda ni kanuni ya bunge la Rwanda huwezi kulazimisha watu wa sehemu fulani wakuchague hiyo si demokrasia hata CCM haina hata karani wa bunge Pemba. Kinachotakiwa ni idadi ya asilimia 12 ya idadi ya wabunge PERIOD.
Wachambuzi wa Siasa:
Naomba msaada, nimetafuta kanuni za bunge toleo la mwisho nadhani ni la 2009 bila mafaniko, kuangalia kama CHADEMA inauwezo ya kuunda serikali kivuli yenyewe bila kuihusisha CUF? Yaani waunde kambi ya Upinzani bungeni kwa kuhusisha TLP, UMD tu?
Naomba mtuhabarishe wenye sheria na kanunu za Bunge... nakumbuka ili uweze kuunda hiyo kitu lazima uwe na robo ya Wabunge wote kama si-kosei...
Natanguliza shukrani.
waunde tu hiyo serikali yao kivuli ya chadema. lakini kiukweli chadema bado ni chama cha jamii fulani ya watanzania na bado sehemu zingine si zanzibar tu hata hapa bara hakikubaliki na ushahidi ni uchaguzi wa mwaka huu (the same tu CUF)Kasheshe nafikiri unachotaka kuhubiri na kuendeleza zile tofauti ambazo zapaswa kupigwa vita...!!!
Unachotaka kuendeleza ni Upinzani ndani ya Upinzani...!!! Nimeona post nyingi za wanachadema wakisema tuunde "Serikali kivuli bila ushirikiano na CUF"...kwali nyinyi mnataka kuja kujenga nchi?...What will happen ikiwa CUF wakitengeneza Serikali kivuli mkaachwa Chadema Nje?.....!!! Endeleza siasa zako za Kimajimbo !!!