Kasheshe,
Hawa jamaa wameishiwa, nahisi ni opportunists au hawajui nini kinatakiwa kufanyika ili kuwa WIN wananchi.
Ukienda kijijini kwangu Mchamba wima hawaelewi hata kidogo ukiongelea DEEP green finance wamechota hela serikalini, hata ukiihusisha na madawati na madawa hospitalini, bado hawaelewi.
Inatakiwa wapinzani wajijenge kichama zaidi. Hili najua ni ngumu kwasababu wengi wao wapo after matumbo yao, najua wapo hodari; ila wamezungukwa na wenye tamaa na wasio na uwezo wa kujenga hoja!
Tutaendelea kuwatawala milele!
FairPlayer