Kambi ya Uturuki imelipa

Kambi ya Uturuki imelipa

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,368
Reaction score
1,477
Timu inapiga pasi za maana, inatengeneza nafasi za kufunga, wanafunga magoli mazuri na yakuvutia (ndani ya dk 90).

Yanga wanapaswa kuiga hii, vinginevyo watapotea
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Nimempenda sana MPWAYUNGU RAFIKI YANGU.

AMEOMBA Moderators WA Jamii Forum wafute Nyuzi ZAKE ZOTE

1. LENGO likiwa ni kuokoa Seva za Jamii forum
Ameona Nyuzi ZAKE ZINAJAZA Seva bila sababu yote ya msingi.

2. Ameona Nyuzi ZAKE nyingine hazina Impact kubwa kwenye Jamii.

KUANZA UPYA SI UJINGA.
BADO UNA NAFASI KAKA
 
  • Kicheko
Reactions: Tui

Jua likiwaka utapona
 
Mimba changa zinawasumbua sana Utopolo. Mbona Man City walifungwa kwa penalti na hatusikii kelele?Utopolo ngebe zimewazidi ndio maana mkifungwa mnashindwa kunyamaza na kukubali matokeo. Penalti kama sio ushindi pelekeni malalamiko FIFA.
 
Habari za mimba zimeingiaje hapa. Tumia akili kama unazo
 
Back
Top Bottom