HaswaaaNdani ya dakika 180 wamewafunga Yanga na Singida magoli 6+ hakika wamefanikiwa
Kambi ya Uturuki imewabebaSIMBA BINGWA
Jua likiwaka utaponaNimempenda sana MPWAYUNGU RAFIKI YANGU.
AMEOMBA Moderators WA Jamii Forum wafute Nyuzi ZAKE ZOTE
1. LENGO likiwa ni kuokoa Seva za Jamii forum
Ameona Nyuzi ZAKE ZINAJAZA Seva bila sababu yote ya msingi.
2. Ameona Nyuzi ZAKE nyingine hazina Impact kubwa kwenye Jamii.
KUANZA UPYA SI UJINGA.
BADO UNA NAFASI KAKA
Ubingwa usio na rahaSIMBA BINGWA
Raha ulitaka tuisikie vipi?Au unadhani raha zetu utasikia wewe?Ubingwa usio na raha
Habari za mimba zimeingiaje hapa. Tumia akili kama unazoMimba changa zinawasumbua sana Utopolo. Mbona Man City walifungwa kwa penalti na hatusikii kelele?Utopolo ngebe zimewazidi ndio maana mkifungwa mnashindwa kunyamaza na kukubali matokeo. Penalti kama sio ushindi pelekeni malalamiko FIFA.
NimekuelewaRaha ulitaka tuisikie vipi?Au unadhani raha zetu utasikia wewe?
Na atawaandama mpaka mwisho wa msimuIla Mo alishajivua lawama mapema amesema ametoa 3b za usajili