kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,779
- 4,982
Mimi ni mshabiki sana wa Mayele ila ukweli husemwa, kinachombeba Mayele ni sifa tu lakini uwezo bado sana. Kama Yanga walifikia huku yeye ndiyo chanzo. Ile mechi ya kwanza angalia nafasi alizokosa, na siyo zile tu.
Mayele ana uwezo wa kupata nafasi safi 7 ndani ya mechi moja akafunga moja tu! Ila naamini yule Kambole Yanga wangelimtengeneza vizuri, na kumtengeneza vizuri naamini angelikuwa namba 9 bora tu.
Siyo Kambole tu, hata yule dogo Yusuph, ndani yake kuna kitu sema tu ndiyo hivyo. Ila Mayele kwa mpira wake ule atatugharimu sana huko mbeleni.