Kambole alikuwa mzuri zaidi ya Mayele

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Mimi ni mshabiki sana wa Mayele ila ukweli husemwa, kinachombeba Mayele ni sifa tu lakini uwezo bado sana. Kama Yanga walifikia huku yeye ndiyo chanzo. Ile mechi ya kwanza angalia nafasi alizokosa, na siyo zile tu.

Mayele ana uwezo wa kupata nafasi safi 7 ndani ya mechi moja akafunga moja tu! Ila naamini yule Kambole Yanga wangelimtengeneza vizuri, na kumtengeneza vizuri naamini angelikuwa namba 9 bora tu.

Siyo Kambole tu, hata yule dogo Yusuph, ndani yake kuna kitu sema tu ndiyo hivyo. Ila Mayele kwa mpira wake ule atatugharimu sana huko mbeleni.
 
Huyo Kambole ulimuona wapi akicheza?
 
Si tulikubaliana kwamba mayele na aziz ki walisajiliwa sababu ya kuifunga simba? Subiri tarehe 23 watafunga hat triki mbili
 
Watu wanashindwa kuelewa kuwa Mayele ukiachana na ule u selfish wa kutaka kufunga hata katika position isiyowezekana wanabidi wafahamu pia kuwa katika nafasi 9 za wazi atafunga 1

Ukiona amepiga hattrick tafsiri yake alikuwa na possibility ya kufunga zaidi ya hapo ila watu hawajadili zile nafasi alizoshindwa kwasbabu ya kudili na matokeo ya mwisho.

Katika hii season ambayo Yanga amepangwa playoff na Club Africain huwezi amini bado Yanga wana amini mechi yao muhimu ni Derby
 
We si ndo ulikuwa unajaza nyuzi humu za kumsifia Mayele na kudai atapiga hat trick, mara hii humtaki tena[emoji2][emoji2][emoji2]. Fanyeni uchawi tarehe 23 mshinde, vinginevyo naona mtatoana damu. Safari ya shirikisho itaishia Tunis.
Nimefukua nyuzi zake za nyuma,huyu jamaa anashida pahala,au ule usemi wa chiz karogwa tena??!!,hakika uko utopolon wenye akili ni wawili tu
 
Nimefukua nyuzi zake za nyuma,huyu jamaa anashida pahala,au ule usemi wa chiz karogwa tena??!!,hakika uko utopolon wenye akili ni wawili tu

Jamaa alipatia sana. Kule wenye akili ni wawili tu. Naona kuna mwingine kaongezeka, alikuwa anamparura mtu wa digital huko twitter.
 
Kambole tupe records zake
 
Jamaa alipatia sana. Kule wenye akili ni wawili tu. Naona kuna mwingine kaongezeka, alikuwa anamparura mtu wa digital huko twitter.
wamekuwa watatu sasa JK, sunday, na mtikila MMM
 
Kwani ngushi ana shida gani si wamuanzishe tu yeye
 
Yanga watanzania kuna mashabiki mazuzu sana yaani mayele anaonekana mchezaji kwasababu aliwafunga simba na mashabiki wa utopolo huwaambii kitu hata kisinda yule hakupaswa kurudi sema tu kwasababu alisababisha penalty mechi ya simba hapo ndo tunasema soka letu kivyetu vyetu
 
Hata wale wawili waliosemekana ndio wenye akili utopoloni ilisemwa kwa sababu tu msemaji alikuwa anawaonea aibu lakini kwa kifupi kule hakuna kitu
 
Hiyo derby ni mechi yao kubwa maishani kuliko mechi nyingine yoyote ile wanayocheza kwenye msimu mzima.

Mfano ukimuuliza mwana Simba ni mechi gani ya hivi karibuni hawezi kuisahau anaweza kutaja ile ya Nkana au ile ya AS VITA (baada ya kutupiga 5 kule kwao)..nk lakini wa Yanga atataja ipi zaidi ya derby?[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…