Mbalamwezi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2007
- 800
- 172
Kama Ewura isingekuwepo bei za bidha hizo ingekuwa chin kwani kazi yao kila kukicha nni kuitisha vikao vya kupandisha bei za bidhaa hizo. Dawa pekke ya tatizo hili ni kukaribishwa kwa makamuoni makubwa ya mafuta yeney mitaji mikubwa na kuzalisha umeme aje kuwekeza hapa nchini ndipo tutashuhudia ushindani kama ukle uliopo katika simu za mikononi.iWana JF, naomba tushirikiane kujibu swali hili, hasa tukizingatia hali ilivyokuwa kabla ya taasisi hii na hali ilivyo baada ya uwepo wake, tukizingatia ukweli na hali halisi. Tutumie mifano hai bila ushabiki wa kisiasa au wa namna yoyote, na ni vema pia kama tutatumia takwimu. Badala ya kupotezeana muda kutoa kauli za kubeza, tutumie muda huo kuonyesha ukweli na kukosoa kwa ushahidi.
Mods naomba mu edit hapo kwenye topic isomeke "Kama" na si "Kame"