Kamera za film ziko sokoni

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,925
Kamera za film (sio digital) zipo sokoni. Pamoja na kamera kuna pia flash na mifuko ya kubebea camera. Anayehitaji tafadhali ani pm.

 
Kamera za film (sio digital) zipo sokoni. Pamoja na kamera kuna pia flash na mifuko ya kubebea camera. Anayehitaji tafadhali ani pm.

hivi walivyozima mitambo mwezi disemba haukuwepo mkuu??
 
Wakati wa krisimasi ya mwaka 2003 nilipiga picha kutumia kamera ya film nikawa sikuzisafisha picha zile kwa muda wa karibu mwaka mzima na baadaye mwaka 2005 nilipojaribu kutafuta namna ya kuzisafisha ikaonekana kuwa gharama ilikuwa ni kubwa sana kwa vile situdio zote hazikuwa na madawa na karatasi zinazotakiwa labda nilipie gharama ya madawa na karatasi kantoni nzima kusudi wafanya spesho order!
 

Kichuguu unamaanisha nini?
Hapa tunazungumzia manunuzi ya kamera ya bwana mdogo hapo juu!
 
Last edited by a moderator:
Kichuguu unamaanisha nini?
Hapa tunazungumzia manunuzi ya kamera ya bwana mdogo hapo juu!

Nimerekebisha typing errors, samahani.

Nilichotaka kusema ni kuwa ukinunua kamera ya film, gharama za kuitumia zinaweza kuwa ni kubwa sana kwa vile madawa ya kudevelop picha hayapatikani kirahisi kama zamani, na pia zile karatsi photosensitive hazipatikani pia, kwa hiyo mtu kunua kamera ya filamu atahitaji moyo sana labda iwe ni kwa ajili ya ku-collect, kama mimi nilivyonunua typewriter!.
 
Hiyo fungua museum,mi nilikuwa na yangu hata laki nimekosa.Nikon kali.
Watu wamehamia digitali

Sasa kama ulikosa laki si ungejaribu 50,000/= au unangoja miaka ipite ili hata elfu tano ukose ?,
 
Sasa kama ulikosa laki si ungejaribu 50,000/= au unangoja miaka ipite ili hata elfu tano ukose ?,

Ndio maana nimemshauri kufungua museum kama mimi nilivyo fanya.Kuweka vitu vya zamani kama kumbukumbu.Maana hata hiyo hamsini unaweza kosa
 
Ngoja nikuitie adata5 ndo issue zake hizi
 
Last edited by a moderator:
jaribu kucheki hizo accesories hiyo lens na flash kama zinaingilianana camera za digital hizo Canon zinaonekana ni kiwango sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…