Kamisheni za m-pesa za mwaka huu ni wizi

Kamisheni za m-pesa za mwaka huu ni wizi

MBUFYA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2011
Posts
445
Reaction score
68
Nitaacha hii kazi ya uwakala maana malipo mapya ya vodacom m pesa mwaka huu wa fedha yanakatisha tamaa. yaani tsh 40, kwa muamala. ni hasara. kama voda wamekosea waseme
 
Mwanzo ilikuwa kiasi gani?
Maana mie najua Commission inategemea na kiasi kinachotumwa au kutolewa kwenye Muamala.
Ukisusa wenzio wala Yakhe
 
Mwanzo ilikuwa kiasi gani?
Maana mie najua Commission inategemea na kiasi kinachotumwa au kutolewa kwenye Muamala.
Ukisusa wenzio wala Yakhe

kwa kiwango cha chini yaani muamala wa sh 1000 ulikuwa ni 116. sasa muamala kama huo ni 40.
 
Duh hapo majanga.
Nilitaka kushangaa hii kasi ya mobile money itaishia wapi.Sasa Bank zitaanza kupumua.
Vipi Tigo
 
Nitaacha hii kazi ya uwakala maana malipo mapya ya vodacom m pesa mwaka huu wa fedha yanakatisha tamaa. yaani tsh 40, kwa muamala. ni hasara. kama voda wamekosea waseme
Mkuu huu ni mwezi wa 7 na Serikali imepitisha baadhi ya mambo kukiwa na mabadiliko,pengine wasiliana na voda wakufafanulie
 
Duh hapo majanga.
Nilitaka kushangaa hii kasi ya mobile money itaishia wapi.Sasa Bank zitaanza kupumua.
Vipi Tigo

tigo walikuwa wanalila 100 kwa muamala wa kima cha chini yaani 1000, sijajua bado ni kiasi gani kwa mwaka huu mpya wa pesa ni kiasi gani
 
Duhh,hii biashara inasiri kubwa kweli.
Watabakia masugu tu,maana vocha za sim majanga huku tena majanga,faida mbaya kweli.
 
Njoo nikupe line ya tigo pesa upige faida.
 
Vipi kwa mwaka wa fedha 2019/20 walikuwa wanalipa kiasi kwa muamala wa 1000/=?
 
Nitaacha hii kazi ya uwakala maana malipo mapya ya vodacom m pesa mwaka huu wa fedha yanakatisha tamaa. yaani tsh 40, kwa muamala. ni hasara. kama voda wamekosea waseme
Tunajiandaa na ucaguzi bro, kamisheni itakuwaje kubwa sasa kwa mfano?
 
Back
Top Bottom