Kamishna Camillus Wambura ateuliwa kuwa IGP Mpya. Sirro apewa Ubalozi Zimbabwe, Kingai ateuliwa kuwa DCI

Pengine anaenda kufatilia inshu ya ukataji vidole huko alikoenda(ga)Roma
 
Teuzi zina mambo yake. Chamsingi tunataka katiba mpya mana wateuliwa wote ni walambishwa asali, hawafanyi kwaajili ya watanzania bali kaajili ya aliye wateua.

Waanze kufanyiwa interview mbele ya majaji kisha majina yapeleke bungeni yapigiwe kura, atakayeshinda ndio awe IGP.

Tofauti na hapo hao ni watumwa wa aliye wateua.

#MaendeleoHayanaChama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…