Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Ni kweli ukatili upo mashuleni, wanafunzi wanapewa adhabu zisioendana na umri wao.
Nilichokuona ni kwamba walimu wengi wana psychological disoder ambayo inatokana na changamoto za kiutumishi. Matokeo yake anashusha hasira zake kwa mwanafunzi.
Utakuta mwalimu anakrupiwa na mkuu wa shule mbele ya wanafunzi au walimu wenzake pasipo sababu za msingi.
Mwalimu anatishiwa kuhamishwa kituo cha kazi bila malipo. Ananyimwa fursa za ndani na nje ya shule kwasababu tu hapatani na mkuu wake!
Huu ni ukatili ambao madhara yake hayaonekani moja kwa moja