TANZIA Kamishna wa Maadili, Jaji Harold Nsekela afariki dunia

COVID-19 bado inatambaa tu na jiwe anaipa msaada mkubwa kwa kusababisha misongamano isiyo na maana huku wengi wakiwa hawana barakoa na COVID inachekelea tu.
 
Pole sana kwa Mkewe ambaye nadhani alishawahi pia kuwa Mhadhiri wa Somo la Gender Studies na la Environment katika Chuo Kikuu kimoja kilichopo Makao Makuu ya Samaki aina ya Sato na Sangara.
 
Majaji wengine wanajidharaulisha sana Kama huyu nilimdharau Sana alipoogopa kudeal na ishu ya kimaadili ya bashite kufoji vyeti ambayo ilipelekwa sekretarieti ya maadili na bw bonifac Jacob wakati yeye akiwa kamishna wa maadili
Nonsense!
Ulikuwa wapi muda wote?
Leo ndio umeibuka kumsema vibaya marehemu?

Sent from my TECNO BC1 using JamiiForums mobile app
 
RIP Jaji Nsekela.

Washua wanaondoka kwa mafungu!
Samahani, pengine havihusiani.

Thomas Mihayo na Bibi, wajanja sana! Acha tu wakaripiwe huko kanisani.

Huenda walishaona mfano wa karibu zaidi kutochukua tahadhari!

Mgongo Fimbo? Hakika Tanzania imetoka mbali, na tumefika mbali.
 
Samahani, pengine havihusiani.

Thomas Mihayo na Bibi, wajanja sana! Acha tu wakaripiwe huko kanisani.

Huenda walishaona mfano wa karibu zaidi kutochukua tahadhari!

Mgongo Fimbo? Hakika Tanzania imetoka mbali, na tumefika mbali.
Jaji Thomas Mihayo ni mjanja aliyekuwa anakula kuku kwa upepo wa baharini Oysterbay wakati Magufuli anafuta vumbi la Chato hajafika mjini bado.

Magufuli tabia yake ya kuzodoa washua wa siku nyingi inamshushia hadhi yeye mwenyewe.

Kuna watu hawajapata bahati ya kushika urais lakini wamekaa kwenye uongozi serikalini muda mrefu wanamuangalia tu Magufuli anavyochemka.
 
Hii imeandika na Prof. Fimbo kweli?

Duh!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…