Kamishna wa Sensa 2022 ataka Walemavu kutosahaulika

Kamishna wa Sensa 2022 ataka Walemavu kutosahaulika

amakyasya

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2013
Posts
3,480
Reaction score
914
Wakuu habari zenu!

Kamishna wa Sensa ya Watu na Makazi mwaka 2022, Anna Makinda amesisitiza kutowasahau walemavu katika zoezi la sensa litakalofanyika Agosti 2022.

Chanzo taarifa ya habari ITV jana.

Kwa hiyo mtakaobahatika kuwepo kwenye orodha ya waliochaguliwa kwenye kazi hii msisahau kuwahesabu walemavu.

Mkeka wa makarani, wasimamizi, n.k kuwajia hivi karibuni. Nawatakia kila la heri katika ujenzi wa Taifa.
 
Walisema mmajina yanatoka tar 02 mpaka tar 06 leo tar 14 bado hii nchi bana! dah!
 
Back
Top Bottom