Kampa kampa kampa tena kama simba alivyopewa

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
wakimataifa ni wakimataifa tu na mchangani wa mchangani tu, leo sasa yanga kampa kampa kampa tena kampa sagrada esperanca bao 2, kama alivyompa simba mikiaaa
 
Au ni njama za Issa Hayatou. Lao moja na Malinzi
 
Lazima Hayatou kavuta mpunga kutoka kwa manji halafu kamrushia kwa Voda rais WA esperanca. Manji ana fitina mbayaaaaaaa!
 
Hapa huwa tupo pamoja kabsaa ila ukianza yale ya mikumi mara umekimbizwa na nyoka mbona ukitulia unatoa kitu cha maana kama hiki?
 
Hahaha
Hadi CAF wana ibeba yanga mweeer!!
 
Mpira ni dakika 90. Kila timu inakuwa na wachezaji 11. Kuna refa mmoja na wasaidizi wawili. Pia kuna wasimamizi wa mchezo husika"
 
Nimeingia kwa makosa humu. Nifah unaitwa na nduguzo.
 
Ajibu kapewa red card sijui atafungiwa match ngapi yule na simba
 
wakimataifa ni wakimataifa tu na mchangani wa mchangani tu, leo sasa yanga kampa kampa kampa tena kampa sagrada esperanca bao 2, kama alivyompa simba mikiaaa
Saaaasa je,ndio maana nakupenda ndugu yangu.
Mimi nawe hatupishani...[emoji39]
 
Tutapanda ndege hadi zitukome.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…