Kampa kampa kampa tena

proxy

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
1,479
Reaction score
1,348
Wanajamvi naombeni kuuliza toka mwaka huu uanze ,nasikia sana hili neno likisemwa (Kampa Kampa Kampa tena).Naombeni kuuliza mini ni nani alianzisha hili neno na lina maana na faidi ipi kwa jamii?
 
Wanajamvi naombeni kuuliza toka mwaka huu uanze ,nasikia sana hili neno likisemwa (Kampa Kampa Kampa tena).Naombeni kuuliza mini ni nani alianzisha hili neno na lina maana na faidi ipi kwa jamii?

Kamusoko alimpa Ngoma,Ngoma akampa tena kamusoko,Kamusoko akampa tena Ngoma na Ngoma akafunga goal ndio ikawa kampa kampa tenaaa.....
 
Kampa- akiwa anamrudishia kipa wake Kesi alimpasia ngoma, ngoma akaandika bao la kwanza
Kampa tena- akiwa na mpira huku akikimbia kizembe kizembe Kesi alizidiwa mbio na tambwe na kupelekea tambwe kuandika bao la 2.
Hilo ndo tusi la 'kampa kampa tena'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…