Kampala city Gallery

MOTOCHINI umenifurahisha maana naona nimeifaidi Kampala kuliko nilivyoiona kwa kuitembea maana sasa nimejua maeneo mengine vizuri zaidi kuwa yakoje.
Huku kwenye fani hii unafiti mkuu vizuri kuliko kule kwenye jukwaa la maugomvi.
 
Unaanza uchokozi wako Chakaza
Nimewaacha huko hahaha
 
Kampala nilipita mwaka 2009, vibarabara vya city center vimebana sana halafu bodaboda kibao, sijui sahivi kama kuna changes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…