Kuna majiji mangapi kampala?Endelea kuona Jiji
Bado ndio thread imeanza
Nzuri. Wakati mwingine madicteta wanafanya yao. Kagame, Museven nk. Cheki Burundi siasa inavyomaliza nchi. cheki hata TZ maneno mengi lakini hakuna kitu. Kampala nzuri sana lakini Nairobi ni zaidi kidogo!Kampala ndio jiji na mji mkuu wa Uganda,
Hii ni thread maalumu kwa picha video kuhusu jiji la Kampala tu.
Mambo ya Sijui dar,Nairobi,Mombasa hukohuko.