Kampala city Gallery


Vizuri kwa ufafanuzi wako
Lakini kumbuka
Kampala ya 2010 si yaleo.
 
Kampala pako vizuri ....
Usiifananishe na dar au Nairobi
 
Mimi nakuelewa Dr, lakini hata wewe unajuwa jiji ni pesa, mipango, na uwekezaji. Kampala wakiwa na hivyo na wao wanaweza kujipanga. Nilipataga bahati ya kwenda Tokyo, Tokyo ni mji mkongwe kwa hiyo huwezi kufanya mabadiliko mengi mutokana na wao wanataka kulinda mji wao mkongwe. Lakini wenzetu wame upanga mji wao vizuri hadi unaona raha. Barabara zao ni za kubabana lakini zinatosha. Majengo mengi sio marefu ila yapo marefu. Kutokana na kuwa na sehemu ndogo magari wanayotumia ni madogo wanayaita K-car au "vibosi" hata hapa Dar naviona siku hizi. Lakini nikiangalia jiji la Tokyo napata moyo kwamba hata sisi Dar au Mwanza au Arusha tunaweza kuziendeleza kama walivyo wenzetu walio endelea.
 
Kuna maendeleo ambayo hayakataliki piga uwa galagaza lazima kama mwanzo hamkudesign vema wa jiji lazima mbomoe na kuweka katika standard yenye kuweza kuhimili population ya watu.
Wakandarasi wengi huwa wanafeli wanapokuwa wanadesign majengo au barabara au miundombinu mingine kama barabara wengi wanajisahau baada ya miaka 20 au 50 mbele nchi itakuwaje ndo maana bomoabomoa haziishi
 
Na hili ndio tatizo kuu la dar
Ujenzi wa hovyo hovyo
 
baada ya miaka 20 nakuhakikishia morogoro road tutabomoa kama siyo kupanua japo nmependa sana barabara ilivojengwa kwa ubora wa hali ya juu.
Lakini watu haohao wanaopenda lazima watalaani hilo likitendeka
Serikali inapo Fanya kambo kwa nianjema lazima watu waingize
Siasa.
Lakini lazima watabomoa tu
Hatakama sio leo
 
Upo sahihi ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…