Ni baadhi ya kabila za Tz huwa zinakuwa na hiyo mother tongue inayokosa 'r', na nyingine kukosa 'l' (like kurya),Kuna kitu sijawai elewa, kwanini Bongo mnapenda kutumia 'l' badala ya 'r'. Madalaka badala ya Madaraka.
Kampala wala haitaiweza mombasaKampala vs Mombasa
st mary's kitende ndo shule nimesomea tokea kidato cha kwanza had sita.....we ulikuwa standard au smask?Nakivubo stadium....nimekipiga apo standard high vs st marry kitende
Wakuu gusieni kidogo na hali ya Maisha ya Majiji hayo ilitupate kujifunza!Nairobi Vs Juba
Nairobi Vs Juba