Kampala Inter. Uni. Uganda campus

Sir_Finus

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
330
Reaction score
139
Mwenye kujua application zao zinafanywaje anisaidie maana nina mdogo wangu kaapply online kwa august intake lakin mpaka muda huu hamna feedback yeyote na kwenye website yao naona registration ishaanza...
 
pole nenda campus yao ya dar gomz kwa maelzo zaid
 
Nashukuru mkuu nafas imepatikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…