Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Nasema hiviiiiNdugu zangu, Jana niliangalia taarifa ya habari ya usiku kwenye moja ya tv zetu. Ikaja habari kutoka Kampala, kwamba watu wamekamatwa kwa kunyunyuzia dawa za kuhifadhi maiti kwenye nyama na samaki ili zikae muda mrefu. Wakati ubongo wangu ukitafakari kuwa nikiwa Kampala ni bora kula maharage taarifa ikaendelea kusema kuwa wengine wamekamatwa kwa kutumia panadol kuivisha maharage! Baada ya habari kuhitimishwa mtangazaji anatamka; " Ni habari ya kusisimua hiyo!" Mimi nilidhani ni habari ya kushtusha na kuogopesha sana. Je, wewe unasemaje?
Maharage ya panado ukila sahau kuugua kichwa, na samaki na nyama za kutunza maiti unajitreat mapema kabisa ukifa unakaa ata miaka 2 ndiyo unazimwa shida iko wapi??? Mpaka ikushutushe/kukusisimua??Ndugu zangu, Jana niliangalia taarifa ya habari ya usiku kwenye moja ya tv zetu. Ikaja habari kutoka Kampala, kwamba watu wamekamatwa kwa kunyunyuzia dawa za kuhifadhi maiti kwenye nyama na samaki ili zikae muda mrefu. Wakati ubongo wangu ukitafakari kuwa nikiwa Kampala ni bora kula maharage taarifa ikaendelea kusema kuwa wengine wamekamatwa kwa kutumia panadol kuivisha maharage! Baada ya habari kuhitimishwa mtangazaji anatamka; " Ni habari ya kusisimua hiyo!" Mimi nilidhani ni habari ya kushtusha na kuogopesha sana. Je, wewe unasemaje?
Ndugu zangu, Jana niliangalia taarifa ya habari ya usiku kwenye moja ya tv zetu. Ikaja habari kutoka Kampala, kwamba watu wamekamatwa kwa kunyunyuzia dawa za kuhifadhi maiti kwenye nyama na samaki ili zikae muda mrefu. Wakati ubongo wangu ukitafakari kuwa nikiwa Kampala ni bora kula maharage taarifa ikaendelea kusema kuwa wengine wamekamatwa kwa kutumia panadol kuivisha maharage! Baada ya habari kuhitimishwa mtangazaji anatamka; " Ni habari ya kusisimua hiyo!" Mimi nilidhani ni habari ya kushtusha na kuogopesha sana. Je, wewe unasemaje?
Duh...hii kweli JFMaharage ya panado ukila sahau kuugua kichwa, na samaki na nyama za kutunza maiti unajitreat mapema kabisa ukifa unakaa ata miaka 2 ndiyo unazimwa shida iko wapi??? Mpaka ikushutushe/kukusisimua??
tuanze kuishi kwenye majeneza sasaNasema hiviiii
Kwa sababu wote tutakufa ni bora tuwatafune hao samaki kwani siku tukifa hakuna haja tena ya kuwekewa hayo madawa. Unakuwanayo mwilini.