Kampani kabambe itakayokuwepo wiki ijayo.

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Habari zenu mabibi na mabwana.
Wakubwa na wadogo wake kwa waume.

Haya nimekuja tena kwa mara nyingine kuwapa ofa kwa wale tu ambao wapo ndani ya mkoa Dar.
Ofa itahusisha watu watatu wadada wawili na mpambe mmoja wa kiume ambapo makutano yetu tutapnga kupitia hapa hapa kwa ajili ya kwenda kupata vinywaji mbali mbali.

Siku za makutano ni siku za wikiend kuanzia saa tisa mpaka kumi na mbili au saa moja usiku.
Bila kumsahau best yangu Mshana Jr atakuwepo siku hiyo. Atanipa ratiba yake ya kazi ili tuandae meza mapema kwa ajili ya wageni wetu.

Vinywaji vitakavyotumika...
* Soda.
* Maji.
* Bia nakadhalika.
Kama nilivyosema hapo awali nafasi zilizopo ni za watu watu watatu wanawake wawili mwanamme mmoja na sisi wawili, mimi na Mshana Jr.

Kuhusu matumizi: naomba tuwekane wazi. Bajet ni laki mbili kwa ajili ya kula na kunywa mimi mwenyewe nitagharamia.
Nauli hazitahusika kutoka kwangu eneo litakalopangwa kama upo mbali pumzika.

Lingine: hakuna pesa itakayoondoka ukiona huwezi kula pumzika wengine waingie mzigoni.
Mumezowea kuona kama natania lakini kama hakujitokeza mtu hata mmoja part yetu itanihusu mimi na Mshana tu kama ilivyofanyika Mabibo na picha tutawatumia.
 
We si uliaga wewe au bado upo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…