Uchaguzi 2020 Kampeni Mbagala Lissu aandaliwe vyema

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
Ni Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .

Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi zinazinduliwa. Mgombea na chama wanapaswa kujipanga. Wasiingie Kama 2015 pale Jangwani disorganised .

Hotuba ziandaliwe kikamilifu , Kila hoja apewe mtu mwenye weledi nayo . Kwa ufupi asiachwe mgombea au wagombea pekee kuzungumzia ilani.

Waandaliwe watu makini bila kujali vyeo vyao mfano bwana Nyalandu ana uwezo wa kutuliza munkari

Msigwa anaweza amshaamsha bila kushambulia wengine hovyo.

Profesa J anaweza kusimama na Sugu ufunguzi wa jukwaaa.

CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.

Muda utumike vizuri sio hoja ya msingi inaletwa usiku wakati hakuna utulivu.Ni afadhali mkamaliza na burudani kuliko burudani ikatawala Kisha mkamaliza na elimu, elimu elimu.

Viongozi wajue Kila anayepanda jukwaani ana Nini Cha kuongea mfano mgombea ubunge, udiwani meya wastaafu nk.Vinginevyo mtu ataweza chafua Hali ya hewa.
 
Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
 
Viongozi waliofanya hivyo wanatakiwa kuwajibishwa. Mbowe anatakiwa aachie uenyekiti
Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
 
Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
Una kumbukumbu!
 
2015 ilikuwa na CCM vs CCM
 
Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.

Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.

Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7?

Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?

Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
 
Kurungenzi ya habari hoja hiyo! Wananchi wana kiu kutaka kumwona Rais wao akiwa jukwaani kufungua kampeni rasmi za uchaguzi.
 
Makene hamna kitu, ni moja ya mizigo ya CDM
 
We akili huna, sasa hao malisa na yericko ni kina nani chadema? Si ni kama wewe tu, badala ya kumuendea inbox makene au john mrema au lema au munisi , wewe unawaendea inbox hao vichwa maji ambao hawana nafasi yoyote chadema
Mara nyingi wadau wa upinzani wametoa malalamiko mengi juu ya kupwaya kwa kitengo cha habari na mawasiliano. Mimi mwenyewe nimefanya juhudi kadhaa za kwenda inbox za Malisa Godlisten na Yericko Nyerere kuwalalamikia jinsi ambavyo idara hiyo ilivyopwaya.

Siku ya Mgombea wa CHADEMA kuweka pingamizi kwa wagombea wenzake alisema ataongea na vyombo vya habari, lilikua tukio muhimu lakini hatukulipata live wala halikutumwa kwa wakati mitandaoni.

Leo ni siku kuu na rasmi ya uzinduzi wa kampeni lakini mpaka sasa unatafuta link za kujiunga live huzioni na hata matangazo yanayoashiria tukio kubwa kwenye social media huyaoni. Ni kweli inashindikana kupata wataalam wa graphics wawili na wakawa wanawajibika kwa haya mambo 24/7 ?

Wanashindwa ku-sponse tangazo Instagram kwa dola tano tu?

Redio,TV zote hazitoi favor yoyote kwa vyama vya upinzani hasa Chadema lkn technologia imekua sana ...lkn wanashindwa kuitumia pia?

CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO AMKA TAFADHALI.
 
Ni Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .

Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi zinazinduliwa. Mgombea na chama wanapaswa kujipanga. Wasiingie Kama 2015 pale Jangwani disorganised .

Hotuba ziandaliwe kikamilifu , Kila hoja apewe mtu mwenye weledi nayo . Kwa ufupi asiachwe mgombea au wagombea pekee kuzungumzia ilani.

Waandaliwe watu makini bila kujali vyeo vyao mfano bwana Nyalandu ana uwezo wa kutuliza munkari

Msigwa anaweza amshaamsha bila kushambulia wengine hovyo.

Profesa J anaweza kusimama na Sugu ufunguzi wa jukwaaa.

CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.

Muda utumike vizuri sio hoja ya msingi inaletwa usiku wakati hakuna utulivu.Ni afadhali mkamaliza na burudani kuliko burudani ikatawala Kisha mkamaliza na elimu, elimu elimu.

Viongozi wajue Kila anayepanda jukwaani ana Nini Cha kuongea mfano mgombea ubunge, udiwani meya wastaafu nk.Vinginevyo mtu ataweza chafua Hali ya hewa.
This is an important note to take Mwanahabari Huru
 
Mkuu usinikumbushe 2015 tulivumilia sana aisee, imagine unahutubiwa na kina Lawrence Masha anatuambia "Nimefungwa nikipigania haki" wakati miaka kadhaa nyuma aliwananga wafungwa eti jela siyo Kenpisk? Dah anakuja Lowassa anahutubia dakika 5 tunaondoka! Aisee ile ilikuwa zaidi ya aibu!
Kuna Mambo ukiyaona na kuyasikia kwa watu unaowasapoti na CV zao huwezi kuamini na unaishia kuwa disappointed.

Hata CCM walimuandaa Makongoro kumnadi Magufuli lakini baada ya masihara yake pale Jangwani wakamtoa.Kila neno utalotoa pale Ni mjadala na ukikosea unawamaliza nguvu wanaokusapoti.
 
Back
Top Bottom