Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,947
- 7,939
Ni Imani yangu CHADEMA wameshaona na kujifunza kuhusu nguvu na udhaifu wa mgombea urais wao .
Siwezi kukosoa sana kwa kuwa mgombea alikua akicheza one man show na freestyle. Sasa ni kampeni rasmi zinazinduliwa. Mgombea na chama wanapaswa kujipanga. Wasiingie Kama 2015 pale Jangwani disorganised .
Hotuba ziandaliwe kikamilifu , Kila hoja apewe mtu mwenye weledi nayo . Kwa ufupi asiachwe mgombea au wagombea pekee kuzungumzia ilani.
Waandaliwe watu makini bila kujali vyeo vyao mfano bwana Nyalandu ana uwezo wa kutuliza munkari
Msigwa anaweza amshaamsha bila kushambulia wengine hovyo.
Profesa J anaweza kusimama na Sugu ufunguzi wa jukwaaa.
CHADEMA ijiepushe na mashambulizi kwa vyama vya upinzani hata Kama Kuna ya chinichini yabaki chini wasiwe wa Kwanza kuyaleta jukwaani.
Muda utumike vizuri sio hoja ya msingi inaletwa usiku wakati hakuna utulivu.Ni afadhali mkamaliza na burudani kuliko burudani ikatawala Kisha mkamaliza na elimu, elimu elimu.
Viongozi wajue Kila anayepanda jukwaani ana Nini Cha kuongea mfano mgombea ubunge, udiwani meya wastaafu nk.Vinginevyo mtu ataweza chafua Hali ya hewa.