Pre GE2025 Kampeni mwaka huu wa 2024 zitakuwa ngumu sana

Pre GE2025 Kampeni mwaka huu wa 2024 zitakuwa ngumu sana

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kampeni ya mwaka huu itakuwa ngumu kwa sababu vyama pinzani vitakuwa na uelekeo wa kuungana mfano ACT itaungana na Chadema, CUF itajitegemea tuna vyama vingi tunatarajia watakuwa na mfumo wa chama kimoja ACT Wazalendo watakuwa na nguvu sana kutimiza dhumuni Lao kuirudisha CCM chini.

Ni swala ambalo linawezekana au haiwezekan mimi sijui. Kwa upande wa Kusini serikali ina takiwa icheze makini sana hasa kwenye rasilimali iitwayo ufuta na korosho. Kelele imekuwa nyingi sana bei ya ufuta iliyotangazwa na bei iliyokuja kuuzwa ni tofaut usumbufu sana watu walitegemea 4000.

Uongozi unahitaji sana support ili sababu za kushindwa zisiwepo. Kwa suala la maji ukweli usemwe serikali imejitahidi na hata barabara imejitahidi kuziweka vizuri.

Tatizo la wananchi wanataka pesa iwepo mikononi mwao kitu ambacho HATUTAKI. Ila kila mkoa pangejengwa kiwanja hata kimoja kuajiri watu 5000 kama cha DANGOTE vile ili ku boost mzunguko wa biashara.

Wajibu wa wananchi pia ni kuanza miradi mfano ya ufugaji wa kuku wa nyama wa tender au hata wa kienyeji ukiwa shamba Safi Sana eneo kubwa.
 
ACT imesha ungana na CCM toka kitambo wewe hujui?
 
Mi nasubiri mwakani Mungu akiniweka hai ili nishuhudie Chama la Wana linavyogawanyika..

Separation will be inevitable.. Sababu wanufaika wa utawala watataka aendelee ili waendelee kuramba asali.. Na walioachwa nje watataka atoke aje mwingine..
 
Kungekua na mgombea binafsi alafu Tundu Lisu akasimama yeye kama yeye haki ya nani pangechimbika.

Katika wapinzani wa hii nchi ukimtoa Lisu wengine wote ni viazi vilivyooza. Chadema,ACT,CUF wote takataka.
 
Back
Top Bottom