Uchaguzi 2020 Kampeni ni mipango, mikakati na akili, CHADEMA wamepungukiwa na vyote

Nadhani mleta mada amepata majibu murua kabisa!
 
Sasa kama wapinzani wenyewe hawako serious angalau kupata wabunge 10 unataka mimi nifanyaje mkuu!?

Mimi nmeelezea uhalisia wa hali ilivyo
Hapana kuna majimbo ambayo ni lazima yarudi upinzani kma uchaguzi ukiwa huru na haki kwa haraka haraka ni 20 huku bara kwa CHADEMA.

Sasa inapaswa muhuzunike maana CHADEMA ni chama tu ila kikifa anayeathirika ni mwananchi. Lissu anakosa nni? Mnyika? They have nothing to lose kwahiyo sijui huwa mnamkomoa nani kma sio wenyewe.

Hata kma tuna mahaba na CCM lakini ni muhim upinzani uwepo otherwise tutaletewa sera za ajabu alafu atakosekana mtu wa kutoa maoni mbadala.
 
Cdm viongozi , wanachama na wafuasi wake wengi ni wacha Mungu na wenye hofu ya Mungu. So inawawia vigumu kumuunga mkono mgombea wao wa bafasi ya rais wa jmt anaye shadadia ushoga. They know it is a fatal mistake mbele ya Mungu.
 
Kama sera za mgombea wa ccm ni kuwalinda na kuwatetea wanyonge basi hafai kuchaguliwa.

Nilitegemea atoe sera za kuwaondoa watu hao kwenye kundi la wanyonge badala yake anagombea ili aende kuwalinda na kuwatetea kwenye unyonge wao.

Huyu hafai hata kidogo.
 
Kwanini msubiri baada ya siku chache msianze kuzisambaza leo, inaweza kuwasaidia kujipatia umaarufu na kupigiwa kura...anzeni leo msije kuchelewa.
 
Y
Yataje mkuu
 

Ni muhimu CDM ife ili tupate upinzani mpya ulio bora, CDM imeshindwa kujifanyia mabadaliko yenyewe sasa sisi wananchi tutawapa stahili yenu, CDM ya sasa imejaa arrogance, ukibaraka, fitna na chuki, hii sio kazi ya upinzani na hawana msaada wowote kwa sasa, ni muhimu wafe tupate upinzani bora zaidi.
 
Sijui uliishia darasa la ngapi..... uzuri sasa hivi namba tunaisoma wote
 
Jamaa anazungumzia ujenzi ujenzi....Kingunge alisema huyu ni mnyapara tu..Watanzania hatumtaki
 
Upinzani mpya ukimaanisha wanasiasa wapya wazaliwe au recycling? Sasa CHADEMA ikifa huoni Kina Lissu na Mnyika watahamia ACT ama NCCR!!

Wanasiasa ni wale wale tu hata waliopo CHADEMA leo wengi walikuwepo NCCR na hta waliopo ACT ya leo 90% ni CHADEMA na CUF.

Labda mnieleweshe upinzani mpya mna maana watokee Kenya au Mbinguni?
 
Kwamba jana mahudhurio ya shinyanga yalikuwa mazuri... Hata picha mmegoma kutuma.... Palidoda sana ndo ukweli

Sasa hao ni watu wachache? Tena kwenye ngome ya CCM? Be serious muda mwingine...... Mtasema ooh wamekuja kumshangaa basi subiri Rungwe naye aende huko Mwanza au Shinyanga afu tuone!!
 

Tunachohitaji ni falsafa mpya, CDM hii pinga pinga na kibaraka wa mabeberu haina faida kwa nje, tunahitaji upinzani wenye faida hivyo ni muhimu CDM ife tupate upinzani mpya Tz.
 

Sasa hao ni watu wachache? Tena kwenye ngome ya CCM? Be serious muda mwingine...... Mtasema ooh wamekuja kumshangaa basi subiri Rungwe naye aende huko Mwanza au Shinyanga afu tuone!!
Shinyanga ni ngome ya Ccm? Namsikia JPM anachambua ilani ya Ccm, miaka yake mitano akimaliza tutakuawa tumefika pazuri
 
Kwanini msubiri baada ya siku chache msianze kuzisambaza leo, inaweza kuwasaidia kujipatia umaarufu na kupigiwa kura...anzeni leo msije kuchelewa.
Hivi kile chama chetu CCK aliachiwa nani?

Msimsahau Mpendazoe kumrushia Tigo Pesa maana amechoka kwelikweli.
 
CCM wapo well organized vibaya mno, In short kwenye mikutano ya Chadema watu wanaenda kumuona mtu aliyesurvive multiple bullet hit, wanamsikiliza na wanamhurumia, ila hawamwamini kwenye kumpa kura!
Kwa hiyo humo kwenye njozi zenu, walikwambia wanakuamini wewe uliyetumwa kumshambulia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…