Uchaguzi 2020 Kampeni ni mipango, mikakati na akili, CHADEMA wamepungukiwa na vyote

Jitahidi uhudhurie mikutano ya chadema kwa maelezo yako inaonyesha hujafika ktk mikutano yao .Chadema hawajashika nchi vipi waseme wamejenga kitu?
Wao kazi yao kuelimisha watu kwa yale ccm imekosea na kuahidi nn watafanya km HAKI, UHURU na MAENDELEO YA WATU jitahidi uwafuatilie vinginevyo una hasira mikutano ni ya wazi kila mtu anafuatilia hata huku vijijini tunaona mikutano yote
 
CCM wapo well organized vibaya mno, In short kwenye mikutano ya Chadema watu wanaenda kumuona mtu aliyesurvive multiple bullet hit, wanamsikiliza na wanamhurumia, ila hawamwamini kwenye kumpa kura!

Umeingia mioyoni mwao?
 
.
Tunachohitaji ni falsafa mpya, CDM hii pinga pinga na kibaraka wa mabeberu haina faida kwa nje, tunahitaji upinzani wenye faida hivyo ni muhimu CDM ife tupate upinzani mpya Tz.
Falsafa inaletwa na watu sio chama!! coz chama bila watu ni irrepevant. Sasa hao watu watatoka wapi? Ndio nmesema hta chadema ikifa kina mbowe utawakuta huko ACT au NCCR sasa huo upinzani mpya utoke wapi?? ACT si hao hao Maalim na masalia wa CHADEMA kuna nani mpya pale?

Hakunaga kitu kma upinzani mpya zaidi ni kubadili tu maeneo ya kufanyia siasa. Ila ukitaka siasa mpya ni hao TISS wapandikize watu wanaowataka upinzani ila sio kupambana kuua CHADEMA ni kupoteza muda tu maana watarudi either CCM au ACT sasa umefanya nni? Wataacha ukibaraka wao wakienda ACT?

Reasoning ya TZ bhana
 

Siku hizi vijijini 60% wanazo simu za smartphone
 
Awa ndugu zenu chadema wamepoteza kabisa ushawishi wa kisiasa kabisaaa,Wanaishia kutoa matusi mitandao badala ya kujibu hoja za Wananchi

Huyo anaetoa matusi umeona kadi yake ya chama?
 
Shinyanga ni ngome ya Ccm? Namsikia JPM anachambua ilani ya Ccm, miaka yake mitano akimaliza tutakuawa tumefika pazuri
Hahahaha mtani umekuja na huku. Shinyanga ilikua upinzani zamani ila tokea 2015 kura zikapigwa kikabila ni ngome ya CCM hilo liko wazi kabisa. Kwahyo pengine mlitegemea apate watu watano tu au apigwe mawe kma "Hai"

Poleni sana
 
Mtu uliyepita bila kuenguliwa(sio kupita bila kupingwa) unatakiwa utulize mshono maana site umepaogopa wewe ni muoga.
 
Ungesema wamepungikiwa wasanii na malori ya kubeba watu ungekuwa umepatia .
 
Tunazo video zake kadhaa ambazo anamtukana magufuli na ambazo hujawahi kuzisikia, baada ya siku chache tutazianika hadharani bila huruma yoyote, jipangeni, kama mnadhani yamekwisha mnajidanganya
Hakuna mwenye subira ya kumtizama mpinzani akimrarua ingali anaweza kumjibu na kumshinda, uongo hauwasaidii na kwasasa watanzania wengi wanafikiri kwanza juu ya kinachosemwa na hapo ndipo Magufuli anapowapiga KO kwakua anachosema kinareflect aliyoyasema lakini pia msimamo wake.
 
Msimamo wa kutukana wahanga na kupiga mashangazi ? Deo Mwanyika mhujumu uchumi yuko njombe anagombea ubunge kwa tiketi ya ccm , utaendelea kumuamini Magufuli hata kwa hili ?
 
niwapongeze kwa kujali usawa wa kijinsia katika uteuzi wenu wa MAMA SAMIA SULUHU hongereni kwa hilo
 
hayo ni maneno yako tu ndugu wala hauna uthibitisho wowote juu ya hilo
Kama hupendwi utaamua kubaka. Ndivyo mnavyofanya CCM. Mnatumia kila aina ya udhalimu na mbinu chafu kuhalalisha ushetani wenu. Hamna sera yoyote ya maana ila mnalazimisha tu
 
Kama unahisi chadema wakishindwa kina Lisu hawana cha kupoteza basi pole!

Ni kweli tuanpaswa kuwa na upinzani lakini si huu wa hapa kwetu
 
Hapo kwenye kugawana njia nimewaza hivi leo Lissu akigawana njia na Salum, bwana Salum akiwa mwenyewe atapata hata nyomi la watu 7?
 
Hapo bado mziki wa Aerial haujaanza
 
Hapo kwenye kugawana njia nimewaza hivi leo Lissu akigawana njia na Salum, bwana Salum akiwa mwenyewe atapata hata nyomi la watu 7?
Kuna thread nilisema wameleta mzaha wa mgombea mwenza. ....mwaka 2015 babu Duni at least alikuwa na Fanbase yake na haiba yake
 

Ndio faida ya miaka mitano kuziba wote midomo na uongee ww tu
 
Kama unahisi chadema wakishindwa kina Lisu hawana cha kupoteza basi pole!

Ni kweli tuanpaswa kuwa na upinzani lakini si huu wa hapa kwetu
Anapoteza nni sasa Lissu? M.A ya Warwick atakosa allowance ya dola laki 2 kwa kesi moja mbele huko? Mbowe akienda CCM atakosa hata u RC? Lema akiamua kwenda CCM awe hata DC anakosa nini?

Upinzani hta uwe ajabu vipi ni lazima uwepo maadam ni minority wana athiri nini? Sijui nani katuaminisha wapinzani ni maadui wa taifa wakati ni hao hao tu leo wapo CCM kesho CHADEMA na vice versa!!

Tuliambiwa CHADEMA wanatumika ma mabeberu ila wakienda CCM mnawapa uwaziri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…