Uchaguzi 2020 Kampeni ni mipango, mikakati na akili, CHADEMA wamepungukiwa na vyote

Chadema hawawezi hawawezi kwenda sehemu bila lisu, ndiye karata yao ya mwisho, viongozi wao wengine ni vituko

Re: faru john
 
Kama hupendwi utaamua kubaka. Ndivyo mnavyofanya CCM. Mnatumia kila aina ya udhalimu na mbinu chafu kuhalalisha ushetani wenu. Hamna sera yoyote ya maana ila mnalazimisha tu
Umebakwa lini, acha uongo

[emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…